Wednesday, October 8, 2008

WANABLOGU TANZANIA.

mimi,simon kitururu na mzee wa rundugai chediel charles.
mlimani city samaki samaki 2008.

2 comments:

Christian Bwaya said...

Kitururu aliniambia mlikutana. Asante kwa ushahidi.

Nami nafanya juhudi za kuonana naye mapema.

Inapendeza kuona wanablogu wanakutana.

Ujumbe wa muhimu ni kuifufua JUMUWATA. Hili liwe jukumu letu wote. Kuifufua JUMUWATA.

Asante Rasi kwa kupuliza baragumu.

luihamu said...

kaka tutafanikiwa.
amani kaka.