Thursday, October 9, 2008

THE UPSETTER

Lee "Scratch" Perry
kwa sasa anamiaka 72 aliwahi kuwa producer wa nabii wailers,kwasasa the upsetter wametoa albam mpya kwa jina la 'Repentance'(kutubu).
wakati umefika sasa wa kuacha kusikiliza nyimbo za kuabudu mapenzi na kusikiliza sauti na ujumbe wa mimi na mimi na mimi.

No comments: