Friday, October 10, 2008

Morgan Heritage - Don't Haffi Dread

sio wote wenye nywele za msokoto ni mimi na mimi yani rastaman.
sikiliza ujumbe kutoka katika familia ya reggae
bofya hapa
http://www.youtube.com/watch?v=2QVWyBtJaxQ

1 comment:

mloyi said...

Naona umerejea vizuri.
Ni wachache sana wanaomkumbuka Nabii Mortimer Planno. Amefanya kazi yake kwa mafanikio makubwa wakati wa maisha yake. Rastafari katika kizazi hiki imeanzia kwa Planno, kama yeye asingekuwa na darasa la "I-ble" sijui ingekuwa kama watu kama Berhane Selasie, Peter Tosh, Burning Wailer na wengine wangepata nafasi ya kufanya kazi kwa ufasaha kama walivyofanya.
Naona unawaorodhesha upya watu waliofanya kazo kubwa sana.
Endelea kaka. tutafika.