Sunday, October 5, 2008

jumuiya ya wanablogu tanzania.JUMUWATA.

mchana,usiku,siku,wiki,mwezi,miaka sijui jumuiya ya wanablogu tanzania imekwama wapi,je nani alaumiwe?je kulikuwa na umuhimu gani wa kuendesha mijadala na kuchaguwa wawakilishi wa JUMUWATA huku lengo likiwa kutoswa baharini?

Bado ninaimani kubwa kwamba jumuwata itasimama,bado ninaimani kubwa zile blogu ambazo sio active sikumoja sitzkuwa active.Nini kifanyike?Je nitatenda au tutatenda haki kuwalaumu wawakilishi waliochaguliwa kuendesha jumuwata?

naamini kabisa wachache tutaifufuwa jumuwata.

3 comments:

Egidio Ndabagoye said...

Nahisi kuna tatizo si bure.Uongozi wetu ukio kimya kutuhabarisha kinini kinaendelea.

luihamu said...

Mzee ndabagoye,
kwa mtazamo wangu nadhani ingekuwa vema sote tuanze kuifufua jumuwata.

amani.

Christian Bwaya said...

Kama unakuwa na viongozi katika jambo fulani na mambo yanakwenda mrama, huwezi kuwalaumu wanaoongoza. Wakulaumiwa ni hao wanaoongozwa. Asante rasata kwa kutuonesha njia.