Tuesday, October 28, 2008

lini Bara la Afrika litakaa kwa amani?




unasema unaamani?
unasema unakula kwa amani?
unalala kwa amani
wakati ndugu zetu wanatembea kutafuta amani.
congo iwe naamani,Afrika iwe na amani,watoto,wazee,kina mama hawana makosa.kama kweli mnataka kupigana,mngetafuta uwanja wenu wa mapambona nasio kuwahusisha ambao hawajui lolote.
swali,hivi hao waasi wanapata wapi silaa?nini kina cha vita huko congo?
amani bara la Afrika.





3 comments:

Simon Kitururu said...

Inasikitisha sana!

luihamu said...

mkuu asante kwa kupita hapa hekaluni.

licha ya kusikitisha,ni njia ipi bora tunaweza kutokomeza haya mambo?

Mzee wa Changamoto said...

Bara letu halikuumbwa kuwa lilivyo. Ni ule mfumo upumbazao akili za wengi uliojengwa na hawa Mabeberu unaoathiri wale wenye mamlaka na uwezo wa kuvuta hisia za wengi na kuwapumbaza kwa manufaa yao. Lakini sikati tamaa kwa hilo kama ndilo pekee lililobaki. Kama alivyosema Tanya Stephens kuwa "MAY BE HOPING FOR THE CHANGE IS THE DREAM, MAY BE LIFE AIN'T AS BAD AS IT SEEMS, BUT IF DREAMING IS THE BEST I CAN DO, THEN I'LL BE DREAMING MY WHOLE LIFE THROUGH" Hakuna la kukatisha tamaa hapa maana mapambano ndio yanaanza Man. Luciano alisema "TRADE WINDS WILL KEEP ON BLOWING, MY LIFE WILL KEEP ON GOING AND JAH's LOVE WILL KEEP ON FLOWING SO I'LL NEVER GIVE UP MY PRIDE. Kinachotakiwa ni kuangalia kizazi kijacho, kutokata tamaa na kisha Faraja yetu yaja. Mzee Mandela alitukumbusha kuwa "THE GREATEST GLORY IN LEAVING LIES NOT IN NEVER FALLING, BUT IN RISING EVERYTIME WE FALL" Faraja yetu yaja. Tena kwa haya tupitiayo yaja na itakuwa FARAJA KUU kwani "HARDER THE BATTLE, TOUGHER THE FIGHT, SWEETER THE VICTORY" alisema Nasio. Blessings Mankind