Sunday, October 5, 2008

JE,NILIKUWA WAPI? sehemu ya kwanza.

nembo ya kikundi cha kusaidia yatima katika FOTOBARAZA.bofya hapa(http://fotobaraza.ning.com/group/yatimawetu).Kwasasa nadhani viongozi au wawakilishi wa yatima wetu fotobaraza,wanasubiri jibu kutoka wizara husika kuhusiana na katiba ya yatima wetu fotobaraza.

wana FOTOBARAZA,hapa kuna wajumbe na wawakilishi wa yatima wetu fotobaraza baada ya kukutana pale kijiji cha makumbusho.
kutoka kushoto ni RT,ANGEL,MICHUZIJR,CHAOGA TONGE,MKWAYA,BOB SANKOFA,MIMI(LUIHAMU) aliye chuchumaa ni Mkuu CHIBIRITI yule wa Italia.

No comments: