AND NOW I AND I WAITING FOR THE BLACK STAR LINER SHALL COME.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
hii ni kurasa ya mimi na mimi kwasababu mimi na mimi ni mimi na mimi kwani siwezi kuwa mimi na wewe,kwahiyo hii ni kurasa ya wale wote wamwaminio Mfalme Haile Selassi I,kwa sauti yenye radi na mtetemeko mimi na mimi na mimi nasema JAH RASTAFARIAN.amani na upendo. mimi na mimi atazungumzia kuhusu manabii weusi kama vile Marcus garvey,malcom x,martin luher king jr,robert nesta marley,peter tosh,bunny wailer,burning spear,steve biko,patrice lumumba na wengine wengi.
4 comments:
Maneno yaliyotamkwa milongo kadhaa nyuma yametimia. Jamaa amethubutu na imekuwa. Umejifunza nini rasi?
Kaka siku ya kuadhimisha kublogu leo.
Unajua kinachokosekana ni watu kutambua nguvu ya UKWELI. Yaani ni lazima watambue kuwa yaliyosemwa yakiwa kweli na ambayo ni kweli kwa wakweli yatatimia NO MATTER WHAT. Kwa hiyo aliyosema Martin Luther ulikuwa ukweli na ndio maana umetimia, na yeyote atakayesema ukweli atambue kuwa utatimia hata kama si katika siku za uhai wake
Vipi Ras!Mbona KIMYA?
Post a Comment