Thursday, October 9, 2008

TUANZIE WAPI?

katika mchakato wa kuifufua JUMUWATA, tuanzie wapi?

1 comment:

Christian Bwaya said...

Namba moja: Umoja. Tutembeleane. Tuache maoni. Tuonyeshe sura ya Jumuiya. Tujadiliane. Tuache ubinafsi wa kila mtu na lwake kila inapowezekana. Mengine yatafuata kirahisi tukifanikiwa hapo.

La pili litasemwa na mwingine.